Ruka uende katika maudhui ya msingi
Uber

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F. Kennedy (JFK)

Tumia Uber kusafiri popote, iwe unasafiri kutoka JFK hadi Times Square au kutoka Empire State Building hadi JKF.

Queens, NY 11430
+1 718-244-4444

Njia bora zaidi ya kusafiri

Itisha usafiri kote ulimwenguni

Bonyeza tu kitufe ili upate usafiri wa angani katika zaidi ya viwanja vikuu 500.

Safiri kama mwenyeji

Acha programu na dereva wako ashughulikie masuala ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika jiji ambapo wewe ni mgeni.

Safiri bila wasiwasi kwa kutumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwa ni pamoja na bei zinazooneshwa moja kwa moja na uwezo wa kulipa bila pesa taslimu, hata ukiwa ugenini.

Mfumo wa Uber wa kukadiria nauli

Sampuli za bei za msafiri ni makadirio tu na hazioneshi mabadiliko yanayotokana na mapunguzo, kucheleweshwa kwenye foleni na mambo mengine. Tunaweza kutumia nauli isiyobadilika na bei za chini zaidi. Bei halisi zinaweza kubadilika.

Jipatie kuponi ya ofa kutoka Uber

Punguzo la hadi $15

Get $5 off each of your first three rides. Use promo code **NEWRIDER15**. Expires 30 days after the promo code is applied to your Uber account.
Jisajili ili usafiri

Punguzo la hadi $15

Get $5 off each of your first three rides. Use promo code **NEWRIDER15**. Expires 30 days after the promo code is applied to your Uber account.
Jisajili ili usafiri

Njia za kusafiri

 • Pool1-2

  Safari za pamoja

 • UberX1-4

  Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

Kupata gari kwenye Uwanja wa Ndege wa JFK

Ita gari ukiwa tayari kutoka nje

Chagua aina ya gari linalotosha idadi ya wasafiri na mizigo mliyo nayo.

Ondoka kwenye kituo

Kwa vituo vya 1-4, nenda nje ukipitia eneo la wanaowasili au la kuchukua mizigo. Hapa ndipo madereva wote wa Uber katika uwanja wa ndege wa JFK huwakuta na kuwachukua wasafiri.

Ukiwa kwenye Kituo cha 5, elekea nje hadi sehemu ya wanaoondoka. Hapa ndipo madereva wote wa Uber katika uwanja wa ndege wa JFK huwakuta na kuwachukua wasafiri.

Thibitisha mahali ulipo

Chagua kituo na namba ya mlango ili dereva wako ajue mahali atakapokukuta.

Ada za maegesho katika JFK

Ikiwa unapanga safari ya kwenda JFK na unatarajia kuendesha gari, unaweza kupata ada za maegesho hapa.

Aina ya maegesho

Maegesho ya Muda Mfupi

Maegesho ya kulipia kwa muda mrefu ya 9/Ya bei nafuu

Ada

Hazizidi $39 kila siku
$18 kila siku
Huenda ada za maegesho zikawa zimebadilika; taarifa hii iliwekwa Tarehe 20 Novemba, 2018.

Ramani ya JFK

Uwanja wa Ndege wa JFK ni mojawapo viwanja vikubwa ulimwenguni, ikiwa na malango 128 na vituo 6: 1, 2, 4, 5, 7 na 8.
Ramani ya Uwanja wa Ndege wa JFK

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unakoweza kuitisha usafiri wa Uber.

Nauli ya usafiri wa Uber kuenda (au kutoka) Uwanja wa Ndege wa JFK inategemea hali kama vile aina ya usafiri, kadirio ya umbali na muda wa safari, ada ya vibali barabarani na idadi ya maombi ya usafiri.

Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuitisha usafiri kwa kuweka eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda katika zana ya kukadiria nauli katika Uber hapo juu. Kisha, unapoitisha usafiri utaona nauli yako halisi kwenye programu kwa kutegemea hali za wakati huo.

Maeneo ya kuchukuliwa huenda yakategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye programu kuhusu eneo utakakomkuta dereva wako. Unaweza pia kuangalia mabango yanayoashiria maeneo ya usafiri wa pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Maelezo zaidi

Ukurasa wa kualamisha kwa ajili ya madereva

Unatumia mfumo wa Uber kuendesha gari?

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kurahisisha huduma unayopokea katika viwanja vya ndege, zikiwemo sheria na kanuni za nchi husika.
Uber inaweza kukupeleka na kukuchukua kutoka kwenye zaidi ya viwanja 500 vya ndege.

Je, unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

Unaweza kupelekwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 500 vya ndege kote duniani.

Maelezo kwa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa JFK

JFK Terminal 1

 • Aeroflot
 • Alitalia
 • Brussels
 • Cayman
 • Japan Airlines
 • Korean Air
 • Saudia
 • TAME

JFK Terminal 2

JFK Terminal 4

 • Aeroméxico
 • Air Europa
 • Air Serbia
 • Asiana
 • Avianca
 • Caribbean
 • China Airlines
 • Copa
 • Delta
 • Etihad
 • Kenya Airways
 • SWISS
 • Volaris
 • WestJet
 • XiamenAir
 • XL

JFK Terminal 5

 • JetBlue

JFK Terminal 7

 • Alaska
 • Iberia
 • Interjet
 • LOT
 • Qatar Airways

JFK Terminal 8

 • Finnair
 • LATAM
 • Qantas
 • Royal Jordanian

Facebook