Ruka uende katika maudhui ya msingi
Uber

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Denver (DEN)

Tumia Uber kusafiri popote, iwe unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa DEN hadi Red Rocks Amphitheatre au kutoka bustani ya mimea hadi DEN.

8500 Peña Boulevard, Denver, CO 80249
+1 303-342-2000

Njia bora zaidi ya kusafiri

Itisha usafiri kote ulimwenguni

Bonyeza tu kitufe ili upate usafiri wa angani katika zaidi ya viwanja vikuu 500.

Safiri kama mwenyeji

Acha programu na dereva wako ashughulikie masuala ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika jiji ambapo wewe ni mgeni.

Safiri bila wasiwasi kwa kutumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwa ni pamoja na bei zinazooneshwa moja kwa moja na uwezo wa kulipa bila pesa taslimu, hata ukiwa ugenini.

Mfumo wa Uber wa kukadiria nauli

Sampuli za bei za msafiri ni makadirio tu na hazioneshi mabadiliko yanayotokana na mapunguzo, kucheleweshwa kwenye foleni na mambo mengine. Tunaweza kutumia nauli isiyobadilika na bei za chini zaidi. Bei halisi zinaweza kubadilika.

Jipatie kuponi ya ofa kutoka Uber

Punguzo la hadi $15

Get $5 off each of your first three rides. Use promo code **NEWRIDER15**. Expires 30 days after the promo code is applied to your Uber account.
Jisajili ili usafiri

Punguzo la hadi $15

Get $5 off each of your first three rides. Use promo code **NEWRIDER15**. Expires 30 days after the promo code is applied to your Uber account.
Jisajili ili usafiri

Njia za kusafiri

 • UberX1-4

  Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

 • Pool1-2

  Usafiri wa pamoja, bei nafuu

 • UberXL1-6

  Affordable rides for groups up to 6

Kupata gari kutoka Uwanja wa Ndege wa Denver

Ita gari ukiwa tayari kutoka nje

Na uchague gari linalotoshea wasafiri na mizigo mliyo nayo.

Ondoka kwa kutumia kituo cha kulia

Wasafiri wanaoitisha UberX, UberXL au Select wanaweza kuwapata madereva wao kwenye ghorofa ya 6.

Wasafiri wanaoitisha UberX au SUV wanaweza kuwapata madereva wao katika ghorofa ya 5.

Wasafiri walio na ulemavu wanaweza kuchukuliwa katika eneo lililobainishwa la ADA katika ghorofa ya wanaowasili.

Kutana na dereva wako kando ya barabara

Kituo cha Uwanja wa Ndege wa DEN kina pande 2 (Mashariki na Kusini), kwa hivyo hakikisha umechagua upande unaofaa baada ya kubonyeza Itisha. Ikiwa huna uhakika kuhusu kituo chako, angalia mabango yaliyowekwa nje.

Ikiwa unahitaji kuthibitisha eneo lako la kuchukuliwa, wasiliana na dereva wako kupitia kwenye programu.

Ada za maegesho katika DEN

Ikiwa unapanga safari ya kwenda DEN na unatarajia kuendesha gari, unaweza kupata ada za maegesho hapa.

Aina ya maegesho

Maegesho ya Muda Mfupi

Mhudumu wa Kuegesha

Maegesho

Ya Bei Nafuu

Shuttle

61st & Peña

Ada

$120 kila siku; $5 kila saa
$33 kila siku
$25 kila siku
$16 kila siku
$8 kila siku
$4 kila siku
Huenda ada za maegesho zikawa zimebadilika; taarifa hii iliwekwa Tarehe 20 Novemba, 2018.

Ramani ya DEN

Uwanja wa Ndege wa Denver una kumbi 3 pamoja na Kituo cha Jeppesen. Ukumbi wa A unawahudumia wanaowasili na kuondoka kwa ajili ya safari za kimataifa.
Ramani ya Uwanja wa Ndege wa Denver

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unakoweza kuitisha usafiri wa Uber.

Nauli ya usafiri wa Uber kuenda (au kutoka) Uwanja wa Ndege wa DEN inategemea hali kama vile aina ya usafiri, kadirio ya umbali na muda wa safari, ada ya vibali barabarani na idadi maombi ya usafiri.

Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuitisha usafiri kwa kuweka eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda katika zana ya kukadiria nauli katika Uber hapo juu. Kisha, unapoitisha usafiri utaona nauli yako halisi kwenye programu kwa kutegemea hali za wakati huo.

Maeneo ya kuchukuliwa huenda yakategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye programu kuhusu eneo utakakomkuta dereva wako. Unaweza pia kuangalia mabango yanayoashiria maeneo ya usafiri wa pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Maelezo zaidi

Ukurasa wa kualamisha kwa ajili ya madereva

Unatumia mfumo wa Uber kuendesha gari?

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kurahisisha huduma unayopokea katika viwanja vya ndege, zikiwemo sheria na kanuni za nchi husika.
Uber inaweza kukupeleka na kukuchukua kutoka kwenye zaidi ya viwanja 500 vya ndege.

Je, unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

Unaweza kupelekwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 500 vya ndege kote duniani.

Maelezo kwa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa Denver

 • Aeromexico
 • Copa
 • JetBlue
 • Volaris
 • WestJet
 • Alaska
 • Southwest
 • Spirit