Skip to main content
Products

Usichelewe,ita  usafiri wa Poa kwa gharama nafuu! 🛺

15 March 2022 / Tanzania
Featured image for Usichelewe,ita  usafiri wa Poa kwa gharama nafuu! 🛺
Usitumie muda mwingi mida ya asubuhi kutafuta usafiri! Tumia simu yako kuita usafiri wa Uber Poa uwahi kazini bila bughudha yoyote.

Usihangaike na mizigo mizito unapoenda kufanya manunuzi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Ita usafiri wa Uber Poa ambao utakufikisha hadi nyumbani kwako.

Usijiumize kutembea umbali mrefu, ita usafiri upate kupumzika. Tumia simu yako kuita Uber Poa na ujiupushe na magumashi ya kupiga bei.

Posted by Uber

Category:

Get a ride when you need one

Start earning in your city

Get a ride when you need one

Start earning in your city