
Haijalishi unaungana na marafiki, unawahi sokoni kufanya manunuzi au unataka kwenda kazini, sisi tuko hapa kuhakikisha kwamba unafika kwa wakati na kwa bei nafuu. Furahia usafiri unaokufuata hadi mlangoni kwa kubofya tu simu yako – fungua programu yako ya Uber, agiza usafiri na uanze safari.
Usafiri wa kukuwezesha kufanya mizunguko yako
Kamilisha mipango yako kwa kutumia ncha za vidole vyako – ni rahisi tu, fungua programu yako, agiza usafari, na uanze safari.
Tembelea watu unaowapenda
Ungana na familia kwenye tafrija zinazowaleta pamoja au jumuika na marafiki kwenye burudani za usiku katikati ya jiji. Ukiwa na programu ya Uber yenye vipengele vya usalama, utasafiri bila wasi wasi.
Usafiri wako wa kwenda kazini na kurudi nyumbani
Okoa muda na soma barua pepe zako ukiwa umekaa kwenye gari, au fika kwa haraka kwenye kikao muhimu pasipo kuhangaika.
Vidokezo vya usalama kwenye ncha za vidole vyako
Vipengele vya usalama kwenye programu ya Uber, vinakuwezesha kumtumia umpendae hali ya safari yako au ukawasiliana na huduma ya msaada ndani ya programu inayopatikana kwa saa 24/7.
Posted by Uber
Get a ride when you need one
Start earning in your city
Get a ride when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular

Adopting Arm at Scale: Bootstrapping Infrastructure

Adopting Arm at Scale: Transitioning to a Multi-Architecture Environment

A beginner’s guide to Uber vouchers for riders
