

Kama dereva-mshirirka, umetembelea kila kona ya mji, umewapeleka wasafiri sehemu mbali mbali, na umeweza kujikimu kimaisha. Iwe unaenda safari ndefu au hata safari fupi ndani ya mji, ukiwa barabarani kwa muda mrefu kuna vitu vy kuzingatia.
Zingatia vidokezo hivi kwa usalama zaidi:
- Paki gari na kunyoosha miguu yako kila baada ya muda, hata kama hujisikii kujinyoosha.
- Kuwa makini kuendesha kati ya saa 8 usiku – saa 10 alfajiri, muda huu ndio muda ambao mara nyingi mwili wako hutaka kupumzika (kulala).
- Kama umechoka usijilazimishe, pumzika maana ukiwa umechoka hata hamu ya kazi inapungua.
- Kumbuka kujitunza, Kumbuka kula mara kwa mara, kunywa maji ya kutosha, na pumzika unapo hitaji kupumzika.
- Kuwa makini, hata kama barabara unaijua hakikisha hutoi macho barabarani. Fuatillia alama za barabarani, traffic na fuata sheria za uendeshaji.
Posted by Uber Editor
Category:
Get a ride when you need one
Start earning in your city
Get a ride when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular

Engineering, Data / ML, Uber AI2 July / Global
Reinforcement Learning for Modeling Marketplace Balance

Engineering, Backend15 July / Global
How Uber Processes Early Chargeback Signals

Higher Education16 July / Global
How Uber helps power the University of Arkansas men’s track & field team

Engineering, Uber AI17 July / Global