Ruka uende katika maudhui ya msingi
Uber

Pata usafiri unaohitaji wakati wowote

Itisha usafiri, ingia na uende.

Jisajili ili usafiri

Sababu za kutumia Uber kusafiri

Usafiri unapouhitaji

Pata usafiri wa kuaminiki haraka, wakati wowote ule.

Usafiri wa bei nafuu

Linganisha nauli za usafiri tofauti, iwe ni safari za kila siku au safari maalum unapoenda kujiburudisha jioni.

Njia rahisi ya kukufikisha unakoenda

Gusa na umruhusu dereva wako akufikishe unakoenda bila wasiwasi.

Usalama wako ni muhimu

Safiri bila wasiwasi wowote.

Ukaguzi wa madereva

Watu wote wanaotaka kuendesha magari nchini Marekani wanatakiwa kufanyiwa ukaguzi wa madereva na wa uhalifu. Madereva waliopo lazima wakubali kukaguliwa kila mwaka.

Bima

Magari yote ya Uber yana bima endapo ajali itatokea.

Pata usaidizi unapouhitaji

Nchini Marekani, kitufe cha dharura kwenye programu hukuwezesha kupiga simu kwa 911 kwa kukigusa mara moja tu. Pia unaweza kuwa na uhakika wa kupata usaidizi wakati wowote iwapo una maswali au wasiwasi kuhusu usalama.

Njia za kusafiri

  • Pool1-2

    Usafiri wa pamoja, bei nafuu

  • UberX1-4

    Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

Kila mahali unakosafiri

Zaidi ya miji 600

Programu inapatikana katika miji mingi kote ulimwemguni, kwa hivyo unaweza kupata usafiri hata ukiwa mbali na nyumbani.

Zaidi ya viwanja 500 vya ndege

Unaweza kuitisha usafiri kwenda na kutoka viwanja vingi vikuu vya ndege. Ratibu usafiri wa kwenda kwenye uwanja wa ndege kwa urahisi.

Kadi ya Visa ya Uber

Tengeneza pesa kutokana na unachofanya. Fanya unachopenda.

Tuma ombi sasa

Kadi ya Visa ya Uber

Tengeneza pesa kutokana na unachofanya. Fanya unachopenda.

Tuma ombi sasa

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana