Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Chaguo za safari kwenye ukurasa huu ni mfano wa bidhaa za Uber na huenda baadhi ya bidhaa zisipatikane mahali ambapo unatumia App ya Uber. Ukiangalia ukurasa wa wavuti wa jiji uliko au uangalie kwenye App, utaona usafiri unaoweza kuitisha.

X small

Uber WAV

Usafiri katika magari yanayowezwa kupandwa kwa kutumia viti vya magurudumu

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Sababu za kutumia Uber WAV kusafiri

Safari za haraka na rahisi

Itisha usafiri unaohitaji wakati na mahali ambapo WAV linapatikana, kulingana na mtindo wa maisha yako, mtindo usioathiri maisha yako.

Safari zinazofaa bajeti yako

Bei ya safari ya Uber WAV inalinganishwa na ya UberX, chaguo letu la msingi la usafiri.

Madereva waliobobea wako tayari kukusaidia

Kila mtu anayeendesha gari kupitia Uber WAV amekamilisha kozi na kupokea cheti inayotolewa na washirika wengine ili kukusaidia kuingia na kushuka kwenye gari. *

Jinsi ya kusafiri kwa kutumia WAV

1. Ombi

Fungua App na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha "Unaenda wapi?". Pindi unapothibitisha kuwa anwani ya mahali pa kuchukuliwa na unakoenda ni sahihi, chagua WAV katika sehemu ya chini ya skrini yako (namba ya ofa inahitajika katika baadhi ya miji). Kisha bonyezaThibitisha Lux.

Ikiwa dereva wa WAV anapatikana na kukubali ombi lako la usafiri, utaona picha ya dereva wako na maelezo ya gari na unaweza kufuatilia muda atakaowasili kwenye ramani.

2. Safari

Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla ya kuingia kwenye WAV.

Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha kwa haraka, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.

3. Shuka kwenye gari

Utatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti, kwa hivyo unaweza kushuka kwenye WAV pindi unapofika uendako.

Kumbuka kumtathmini dereva wako ili Uber iendelee kuimarisha usalama kwa manufaa ya kila mtu.

Mfumo wa kukadiria nauli

search
Weka eneo la kuchukuliwa
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Maswali yanayoulizwa sana

  • Ndiyo. Madereva wana wajibu wa kisheria wa kuwahudumia wasafiri walio na wanyama wa kutoa huduma. Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia Sera ya Wanyama wa Huduma ya Uber .

  • Ndiyo. Unaweza kuleta marafiki wengi kadri kuna viti vyenye mikanda ya usalama kwenye gari.

  • Weka tu eneo lako la kuchukuliwa hadi sehemu ya kuwachukua na uchague Uber WAV, linapopatikana. Itisha usafiri, kisha uwasiliane na dereva wako kupitia App ili umjulishe kuwa atamchukua mtu mwingine. Kisha unaweza kuonesha rafiki au mwanafamilia wako maelezo ya safari ili aweze kufuatilia mahali alipo dereva.

Maelezo zaidi kutoka Uber

Safiri kwa gari unalotaka.

1/9

*Uber WAV inapatikana tu katika masoko maalum. Wasafiri wanaotumia viti vya walemavu vinavyoweza kukunjwa wanaweza kuitisha usafiri mwingine wowote kupitia App ya Uber. Madereva wanapaswa kuwakubali wasafiri wanaotumia vifaa vya kusaidia kutembea, fimbo, viti ya walemavu vinavyoweza kukunjwa au vifaa vingine visaidizi. Kwa maelezo zaidi, rejelea accessibility.uber.com.

Taarifa inayopatikana kwenye tovuti hii ina madhumuni ya kutoa maelezo pekee na huenda isitumike katika nchi, kanda au jiji lako. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.