Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Safiri ukitumia Uber

Safari kote ulimwenguni

Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye. Angalia programu ili uone ni machaguo yapi ya safari yanayopatikana karibu nawe.*

1/9

Weka nafasi ya usafiri mapema

Kamilisha mipango yako kwa kuweka nafasi ya safari. Omba safari hadi siku 30 mapema, wakati wowote na siku yoyote ya mwaka.

Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Press the down arrow key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is 2022/08/16.

Huenda huduma ya kuweka nafasi isipatikane katika eneo lako la kuchukuliwa

Talii ulimwengu ukitumia Uber

Safiri ukitumia Uber katika miji 10,000 na zaidi

Safiri katika maeneo mengi ya miji kote ulimwenguni, ukiwa na ufikiaji wa safari karibu kila mahali.

Pata safari katika nyanja 600 na zaidi za ndege

Ulimwengu uko tayari kwa ajili ya kuwasili kwako. Anza safari zako kwa safari ya kuelekea kwenye uwanja wa ndege. Katika maeneo mengi, utakuwa pia na chaguo la kuratibu kuchukuliwa na kushushwa kwenye uwanja wa ndege mapema.

  • Tunza mazingira

    Elekea kwenye mustakabali unaotunza mazingira ukitumia machaguo ya safari zisizochafua mazingira. Ni njia inayofaa ya kuwa msafiri mwenye ufahamu zaidi.

  • Utaratibu Wetu wa Usalama Unapotoka Sehemu Moja hadi Nyingine

    Tumeanzisha sera na vipengele vipya vya kusaidia kudumisha usalama wa kila mtu, ikiwemo sera inayomlazimu kila mtu avae barakoa na kuwapa madereva dawa za kuua viini bila malipo.

  • Nenda mbali zaidi, pata mengi zaidi ukitumia Uber Pass

    Tazama na ufanye yote kupitia uanachama mmoja unaokuwezesha kuokoa pesa kwenye safari na vyakula vyako vyote.

1/3

*Machaguo, matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.