Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Safiri ukitumia Uber

Pata safari kwa ajili ya kila barabara yenye ufikiaji katika zaidi ya miji 10,000 ulimwenguni kote.

Kwa sababu jasura bora huja kwako.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Safari kote ulimwenguni

Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye. Angalia programu ili uone ni machaguo yapi ya safari yanayopatikana karibu nawe.*

1/9

Weka nafasi ya usafiri mapema

Kamilisha mipango yako kwa kuweka nafasi ya safari. Omba safari hadi siku 90 mapema, wakati wowote na siku yoyote ya mwaka.

search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Ungependa kwenda wapi?

Talii ulimwengu ukitumia Uber

Safiri ukitumia Uber katika miji 10,000 na zaidi

Safiri katika maeneo mengi ya miji kote ulimwenguni, ukiwa na ufikiaji wa safari karibu kila mahali.

Pata safari katika nyanja 700 na zaidi za ndege

Ulimwengu uko tayari kwa ajili ya kuwasili kwako. Anza safari zako kwa safari ya kuelekea kwenye uwanja wa ndege. Katika maeneo mengi, utakuwa pia na chaguo la kuratibu kuchukuliwa na kushushwa kwenye uwanja wa ndege mapema.

  • Tunza mazingira

    Elekea kwenye mustakabali unaotunza mazingira ukitumia machaguo ya safari zisizochafua mazingira. Ni njia inayofaa ya kuwa msafiri mwenye ufahamu zaidi.

  • Utaratibu Wetu wa Usalama Unapotoka Sehemu Moja hadi Nyingine

    Tumeanzisha sera na vipengele vipya vya kusaidia kudumisha usalama wa kila mtu, ikiwemo sera inayomlazimu kila mtu avae barakoa na kuwapa madereva dawa za kuua viini bila malipo.

  • Nenda mbali zaidi, pata mengi zaidi ukitumia Uber One

    Tazama na ufanye yote kupitia uanachama mmoja unaokuwezesha kuokoa pesa kwenye safari na vyakula vyako vyote.

1/3

*Machaguo, matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.