Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Tochi

Mrahisishie dereva shughuli ya kukuona anapokuchukua. Kipengele hiki hubadilisha skrini yako kuwa tochi inayomwonyesha dereva wako hadi ulipo.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Umuhimu wake

Tochi huhakikisha kwamba mnakutana na dereva wako hata katika matukio magumu. Simu yako itawaka kwa rangi uliyochagua awali, utainua simu yako juu na dereva wako ataarifiwa kuhusu rangi anayohitaji kutafuta - hivyo kurahisisha shughuli ya kukuchukua.

Utaratibu wake

Itisha usafiri

Gusa ili ufungue App na uitishe usafiri kama kawaida.

Gusa kitufe cha Tochi

Skrini ya simu yako itawaka kiotomatiki kwa rangi uliyochagua awali.

Inua simu yako

Geuza skrini iangalie upande wa dereva wako anapowasili.

Jisajili

Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.

Onesha

Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.