Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Onesha Safari Yangu

Ukiwa na kipengele cha Onyesha Safari Yangu, unaweza kuwaruhusu marafiki na familia kuona hali ya safari yako na eneo uliko kwa urahisi kwenye ramani, ili kila mara mtu unayemwamini ajue uliko.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Umuhimu wake

Wajulishe watu wanaokusubiri wakati utakaowasili ili waweze kutulia.

Utaratibu wake

Itisha usafiri

Gusa ili ufungue programu na uombe usafiri kama kawaida. Baada ya kuomba usafiri, telezesha kidole juu kwenye skrini ya programu na uguse Hali ya Onyesha Safari.

Onesha hali ya safari yako

Chagua hadi watu 5 katika orodha ya anwani zako ambao ungependa kuwaonesha hali ya safari yako.

Safiri

Watu hao watapokea SMS iliyo na kiungo kilicho na maelezo ya safari yako. Ukikifungua, utaona jina la kwanza la dereva wako na maelezo ya gari. Pia utaona ramani ya mahali ulipo katika wakati halisi.

Jisajili

Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.

Onesha

Waalike marafiki watumie Uber na watapata punguzo kwenye safari yao ya kwanza.