Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Pata usafiri unaohitaji wakati wowote

Itisha usafiri, ingia na uende.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Tumia programu ya Uber ili ikusaidie kusafiri jinsi unavyopenda

Machaguo ya Safari

Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye.

Viwanja vya ndege 700 na zaidi

Unaweza kuomba safari ya kwenda na kutoka kwenye viwanja vingi vikuu vya ndege. Ratibu safari ya kwenda kwenye uwanja wa ndege kwa urahisi.

Zaidi ya miji 10,000

Programu hii inapatikana katika maelfu ya miji kote ulimwenguni, kwa hivyo unaweza kuomba safari hata ukiwa mbali na nyumbani.

Unatafuta huduma za biashara?

Maswali yanayoulizwa sana

  • Programu ya Uber husaidia kutoa huduma ya kusafirisha bidhaa inayoweza kukuokoa usisafiri mjini, iwe ni kwa ajili ya zawadi ya dakika za mwisho ya siku ya kuzaliwa au funguo ulizosahau. Chagua tu Kifurushi katika programu ya Uber.

  • Ndiyo. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi kukodi gari kunavyofanya kazi.

  • Ndiyo. Andaa safari ya kikundi kwenye programu ya Uber, waalike marafiki zako na mfike mahali mnakoenda pamoja.

  • Uber hufanya iwe rahisi kupata teksi karibu nawe katika miji ambapo Teksi ya Uber inapatikana. Hakuna haja ya kutafuta stendi ya teksi, kusimamisha teksi barabarani au hata kupiga simu kwa kampuni ya teksi ya mahali husika. Badala yake, unaweza kutumia programu au tovuti ya Uber kuomba teksi kwa mibofyo michache tu.

  • Omba UberXL ili upate van au SUV inayoweza kutoshea hadi watu 6 kwa bei nafuu. Inafaa kwa safari ya familia au safari ya kwenda kwenye uwanja wa ndege.

Fanya mambo zaidi ndani ya App

Fanya mambo zaidi ndani ya App

Baadhi ya masharti na vipengele hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.