Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Kufanya usafiri kuwa sawa kwa ajili ya wote

Tunawasafirisha watu na kuhamisha maeneo kwenda mbele. Pata maelezo zaidi kuhusu ahadi zetu, angalia jinsi Uber inavyochukua hatua na ugundue ni nani aliye sehemu ya mtandao wetu wa kimataifa.

Ahadi zetu

Uwezeshaji wa kiuchumi

Kuanzia madereva na watu wanaosafirisha bidhaa hadi biashara ndogondogo na jumuiya, tumejizatiti kuunda fursa nzuri kwa ajili ya wote.

Usalama

Kuendeleza mipango ambayo inakuza usalama ni njia moja wapo tunayotumia kusaidia kufanya usalama kuwa kipaumbele.

Uendelevu

Kuanzia kwa magari ya umeme hadi kupunguzwa kwa taka ya chakula, tunafanya kazi ili kulinda mustakabali wa sayari yetu.

Usawa

Kupitia ahadi za kupinga ubaguzi wa rangi, huduma zinazofikika na zaidi, tunasaidia kuwasafirisha watu zaidi ya mifumo ya upendeleo.

Kazi yetu

Maendeleo yanataka uvumbuzi. Tunaongoza mipango ya kipekee na uamilishaji katika nchi zaidi ya 50 kote ulimwenguni, mara nyingi tukishirikiana na wengine.