Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Toa zawadi ya Uber

Kadi za zawadi ni njia bora kwa kampuni kuwashukuru wateja wao na kuwapa timu zao zawadi. Tumia tovuti yetu ya kampuni kununua zaidi ya kadi 10 za zawadi kwa wakati mmoja.

Samahani—Kadi za zawadi za Uber hazipatikani katika nchi yako kwa sasa.

Tafadhali angalia tena baadaye, kwa sababu upatikanaji wa zawadi unaweza kubadilika.

Itumie utakavyo

Ya Safari

Wape ndugu na marafiki zawadi ya kugusa kitufe na kupata usafiri - wakati wowote, siku yoyote ya mwaka.

Ya Chakula

Unaweza pia kutumia kadi za zawadi za Uber kwa oda za UberEATS. Furahia chakula kutoka kwa watoaji wengi.

Njia zaidi za kununua kadi za zawadi

Nunua kwa ajili ya biashara yako

Kadi za zawadi ni njia nzuri ya kuwashukuru wateja wako na kuwapa wafanyakazi wako zawadi. Tumia tovuti yetu ya kampuni kununua zaidi ya kadi 10 za zawadi kwa wakati mmoja.

Nunua kwenye maduka

Unaweza kupata kadi za zawadi za Uber zinazoanzia $15 kwa wauzaji wanaoshiriki.

Tuma papo hapo kwenye programu

Ili utume kadi ya zawadi papo hapo kutoka kwenye programu yako kwenda kwenye programu ya rafiki au ndugu, gusa Tuma Zawadi katika menyu ya programu ya Uber au sehemu ya Akaunti ya programu ya Uber Eats.

Tumia kadi yako ya zawadi

Pakua programu ya Uber au Uber Eats ikiwa wewe si mtumiaji wa Uber kwa sasa.

Fungua menyu ya Akaunti kisha uguse Wallet.

Gusa kitufe cha + Ongeza Pesa cha kadi ya Vocha ya Uber.

Gusa Kadi ya zawadi.

Weka namba yako ya zawadi na uguse Weka.

Maswali yanayoulizwa sana

 • Kadi za zawadi hutumika kwenye Uber Cash au Vocha za Uber (kulingana na eneo lako) kwenye akaunti ya Uber. Ili utumie kadi ya zawadi:

  Kwenye programu ya Uber

  1. Hakikisha unatumia toleo jipya zaidi la programu ya Uber.
  2. Gusa ikoni ya menyu kisha uchague Wallet.
  3. Gusa Weka Njia ya Malipo au Utumie Kadi ya Zawadi.
  4. Kisha gusa Kadi ya Zawadi.
  5. Weka PIN/namba yako ya zawadi (bila nafasi).
  6. Gusa Ongeza.

  Kwenye programu ya Uber Eats

  1. Hakikisha kuwa una toleo jipya zaidi la programu ya Uber Eats.
  2. Gusa ikoni ya Akaunti kisha uchague Wallet.
  3. Chagua Weka Njia ya Malipo.
  4. Chagua Kadi ya Zawadi.
  5. Weka PIN/namba yako ya zawadi (bila nafasi).
  6. Gusa Ongeza.

  Baada ya kuweka kadi ya zawadi kwenye akaunti ya Uber, haiwezi kuhamishwa.

  Huwezi kufungua tena kadi ya zawadi baada ya kununua, lakini unaweza kuweka kadi nyingi za zawadi kwenye akaunti ya Uber. Kila akaunti ya Uber inaweza kufikia kima cha juu cha $500 kwa jumla ya thamani ya kadi ya zawadi. Unaweza kuongeza zaidi unapoendelea kutumia vocha zako.

 • Ukishaitumia, kadi yako ya zawadi ya Uber itawekwa kwenye salio lako la vocha za Uber Cash au Uber, na unaweza kutumia wakati wa kulipa kwenye Uber au Uber Eats.

  Unapotumia Uber au Uber Eats, salio lako la vocha za Uber Cash au Uber tayari litachaguliwa kama njia yako kuu ya kufanya malipo. Ikiwa sivyo, gusa njia ya malipo uliyochagua (kwa mfano, kadi ya mkopo) ili ubadilishe njia ya malipo kabla ya kukamilisha mchakato wa malipo. Badilisha njia ya malipo ili uhakikishe kwamba vocha zako za Uber Cash au Uber zinatumika kwanza.

  Ikiwa vocha zako za Uber Cash au Uber hazitumiki kabisa, salio lililobaki linaweza kutumika katika safari au oda ijayo.

 • Kuna baadhi ya vikomo vya kadi ya zawadi:

  1. Unaweza kutumia tu kadi za zawadi katika nchi zinazokubali malipo kwa sarafu ileile iliyotolewa awali.
  2. Kiasi cha kadi ya zawadi hakiwezi kutumiwa kwenye Wasifu wa Familia, safari zilizoratibiwa au safari za kadi za chuo kikuu.
 • Soma zaidi kuhusu kadi za zawadi za Uber katika Kituo chetu cha Usaidizi.