Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Uhuru kwa wakongwe

Tunaamini kuwa kila mkongwe anapaswa kufikia aina bora za usafiri. Tunajitahidi kutekeleza jambo hili.

Wakongwe ndilo rika linaloongezeka kwa kasi sana nchini Marekani, kufikia 2030 mtu mmoja kwa kila Wamarekani 5 atakuwa na umri wa miaka 65 au zaidi. Watu wengi wa rika hili wanaweza kujipata katika ugumu wa kusafiri, hali inaweza kuwapa upweke kwa kuwatenganisha na marafiki, familia au hata na watoa huduma za matibabu. Aina bora za usafiri zitachangia pakubwa katika kuboresha maisha yao.

Chanzo: Ofisi Kuu ya Takwimu Marekani, Tarehe 6 Septemba, 2018

MCHANGO WETU

Huduma za usafiri unaoweza kurahisisha maisha

Badala ya kutegemea ndugu pekee au usafiri wa umma, wakongwe (iwe wana Smartphone au la) wanaweza kutumia Uber kwenda wanakotaka.

Empowering senior centers with Uber Health

Senior centers across the country can provide residents with rides through Uber Health, which can request, manage, and pay for rides without requiring seniors to sign up for an Uber account.

Itisha usafiri kwa ajili ya ndugu au rafiki

Unaweza kumwitishia mpendwa usafiri haraka kwa kubonyeza mara chache tu hata kama hana App ya Uber, anaweza kupokea ujumbe ulio na maelezo ya gari na namba ya simu ya dereva.

Kujitolea kwenye Meals on Wheels

Since announcing our partnership with Meals on Wheels America in 2017, we have made a $1 million donation and led an annual volunteer drive in Chicago, San Francisco, and Washington, DC, where our employees, along with people who drive using the Uber app, helped package and deliver thousands of meals to seniors.