Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Fursa kwa kila mtu

Tunakuletea njia mpya zaidi za kupata pesa na kutoa huduma kwa watu waliotengwa. Tunawasaidia watu wote wasafiri jinsi watakavyo. Iwe hawana kazi, wanapata mshahara duni, ni wakongwe, wana ulemavu au wana mahitaji maalum.

Masuala ya ufikivu

Fursa na nafasi zaidi za kuboresha mapato ya watu

Uber hurahisisha mchakato wa kuendesha magari na kuanza kupata pesa. Kwa kutumia teknolojia iliyo kwenye programu ya Uber inayokuruhusu upange siku yako ili upate pesa, unaweza kujisimamia.

Endesha gari unapotaka

Ukiwa dereva wa Uber, unaweza kuendesha gari kwa muda unaotaka. Kwa hivyo, watu wanaotaka au wanaohitaji pesa za ziada wanaweza kupanga wakati wao vizuri ili wazipate.

Kuwaajiri watu

Katika nusu ya kwanza ya mwaka wa 2016, asilimia 25 ya fursa za kupata pesa katika eneo la Paris zilitokana na mifumo ya usafiri kama vile Uber.

Uber Under the Hood on Medium, 28 Desemba 2016

Uhuru kwa wakongwe

Uber huwapa watu uhuru wa kupata pesa kulingana na ratiba yao wenyewe: takribani theluthi mbili ya madereva nchini Marekani hutumia programu kwa saa 10 au chache kwa wiki.

Uber Under the Hood on Medium, 21 Novemba 2016

Itisha usafiri kwa ajili ya ndugu au rafiki

The app lets people request rides and pay for them on behalf of others. So no matter where your loved ones need to be (and where you’re located), a reliable ride is just a few taps away.

Partnering with local senior centers

Senior centers across the US can provide better transportation service to their residents through our specialized app, Uber Central.

Ufikivu

Masuala ya ufikivu

Programu ya Uber hutoa vipengele vya ufikivu, vikiwemo uwezo wa kufuatilia safari, kutuma arifa za SMS na kutuma ombi la usafiri na madereva maalum kwa ajili ya mahitaji yako.

Tunajaribu mfumo wa UberWAV katika miji iliyoko Marekani ili tupate aina bora za magari ambayo wasafiri na madereva wanaweza kuyatumia kwa urahisi.