Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.
Boresha usalama na tija kwenye shirika lako
Timu za mashirika hutumia tovuti yetu kutoa safari na milo inayotimiza viwango vyao vya juu.
Njia mahiri za kuwashughulikia wafanyakazi wako
Okoa pesa kwa kuacha usafiri wa mabasi
Wape wafanyakazi safari wanapozihitaji badala ya kuendelea kutumia huduma ya bei ghali ya mabasi. Pia inafaa kwa usafiri wa kutoka ofisi moja hadi nyingine.
Wape wafanyakazi marupurupu ya chakula
Ongeza motisha na tija kwa kuruhusu wafanyakazi wako kuagiza kutoka migahawa zaidi ya 400,000, huku ukidhibiti gharama na sera.
Msaada wa safari ya kila siku
Toa safari za mkondo wa kwanza na wa mwisho ili kuzisaidia timu kufika na kutoka kwenye vituo vya usafiri wa umma. Unaweza kulipia gharama yote au sehemu ya safari.
Boresha huduma za kuchukua na kushusha
Tunaweza kukusaidia kufanya mchakato wa kulipa jengo jina na maelekezo ya kuchukuliwa katika programu uwe mahususi ili wafanyakazi na wageni waweze kufika na kutoka kwenye jengo lako kwa urahisi.
Mikakati ya kufungua upya ofisi
Makamu wa Rais wa Eneo la Kazi wa Uber Ulimwenguni, Michael Huaco, anaelezea jinsi kampuni maarufu zinavyopanga jinsi wafanyakazi wanavyorudi kazini, pamoja na njia za kupunguza msongo wa mawazo na kuboresha motisha.
Sababu ya kushirikiana na Uber for Business
Uupe usalama kipaumbele
Utaratibu wetu mpya wa Usalama Unapotoka Sehemu Moja hadi Nyingine umebuniwa ili kulinda afya na usalama wa kila mtu anayetumia tovuti yetu.
Okoa muda wa kulipia gharama
Tuma stakabadhi kiotomatiki kupitia huduma zetu zinazojumuisha SAP Concur na programu nyingine zinazoshughulikia matumizi.
Pata vidokezi vya kina
Ripoti za kila mwezi zinakupa uwezo mkubwa wa kuchanganua gharama na matumizi, ili uweze kurekebisha sera na kuboresha faida zako.
Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo