Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Baadhi ya bidhaa zinazorejelewa kwenye ukurasa huu huenda zisipatikane katika nchi yako

Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.

X small

Safari na vyakula ambavyo wasimamizi hupenda

Wape wasimamizi, wateja na wafanyakazi usafiri na vyakula maalum.

Mfumo mmoja kwa ajili ya kupata safari na chakula

  • Waitishie wasimamizi usafiri

    Wafikishe wasimamizi wanakotaka kwenda kwa kuwaitishia usafiri kupitia App yetu katika kompyuta ya mezani.

  • Lipia safari za wateja wa VIP

    Wape wateja waaminifu vocha ili kulipia gharama ya safari zao.

  • Letewa chakula

    Agiza chakula ambacho kila mtu anapenda kwenye Uber Eats na usiwaache wafanyakazi wako wakiwa na njaa.

  • Panga safari za matukio ya kampuni

    Safirisha wafanyakazi wote kwa kulipia gharama za safari za kila mtu kwenda kwenye mkutano au sherehe.

  • Safirisha hati na vifurushi

    Unapohitaji kupata kitu mjini sasa, Uber Direct iko tayari kusaidia kusafirisha vifurushi vyako.

  • Itisha usafiri mapema

    Tumia zana zetu za wavuti kupanga wakati gari linapaswa kuwasili kuchukua VIP wako, ndani ya dakika 10.

1/6

Kwa nini wasaidizi wa wasimamizi hutumia mfumo wetu

Upatikanaji kote ulimwenguni

Programu ya Uber inapatikana katika zaidi ya nchi 70 na miji 10,000, hivyo kufanya iwe rahisi kuomba safari na kuagiza milo kote ulimwenguni.

Huduma maalum

Wape wasimamizi na wateja huduma bora kwa kuitisha Uber Black au UberXL.

Usaidizi mahususi

Usaidizi kwa wateja wa Uber mtandaoni hupatikana saa 24. Kwa hivyo, ikiwa una maswali yoyote au unahitaji msaada wa kutatua tatizo, wasiliana nasi.

Wafanyakazi wako ni muhimu. Waoneshe kuwa unawajali.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili