Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Baadhi ya bidhaa zinazorejelewa kwenye ukurasa huu huenda zisipatikane katika nchi yako

Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.

X small

Boresha huduma kwa wapangaji

Wavutie na udumishe wapangaji kwa kuboresha usafirishaji wa watu na chakula katika eneo lako.

Huduma bora za kufanya eneo lako liwe bora zaidi

  • Wape wapangaji usafiri bila malipo

    Itisha usafiri wa kutoka sehemu moja hadi nyingine bila malipo kama manufaa ya kipekee—huhitaji kuwa na Smartphone.

  • Pelekewa chakula

    Waruhusu wapangaji au wafanyakazi waagize kutoka zaidi ya migahawa 780,000, huku ukidhibiti bajeti na sera.

  • Tuma ujumbe maalum wa kuwashukuru

    Washukuru wageni na wapangaji kwa kutumia vocha wanazoweza kutumia kwenye chakula au usafiri.

  • Lipia kiasi cha usafiri wa wafanyakazi

    Anzisha mipango maalum ya kulipia safari za kazini, usiku wa manane au safari za kati ya maeneo.

1/4

Pata maelezo kuhusu jinsi Uber na CBRE zilivyoboresha huduma kwa wapangaji ili kutatua changamoto za usafiri katika maeneo ya mijini.

Tovuti iliyoundwa ili kukidhi mahitaji yako

Tunaupa usalama kipaumbele

Utaratibu wetu mpya wa Usalama Unapotoka Sehemu Moja hadi Nyingine umebuniwa ili kulinda afya na usalama wa kila mtu anayetumia mfumo wetu.

Usaidizi mahususi

Huduma kwa wateja wa Uber mtandaoni inapatikana wakati wowote ili uweze kupata usaidizi wa kutatua matatizo yoyote.

Vidhibiti vya matumizi

Weka viwango na manufaa kwa urahisi kulingana na wakati, eneo, bajeti na aina ya safari.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili