Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Baadhi ya bidhaa zinazorejelewa kwenye ukurasa huu huenda zisipatikane katika nchi yako

You may have trouble signing up or receiving follow-up from a sales team member. Please check back as product availability is subject to change.

X small

Fanya huduma za afya zipatikane zaidi kwa kutumia Uber Health

Mashirika ya huduma za afya hutumia teknolojia ya Uber kushughulikia vigezo vya kijamii kuhusu afya na kupata ufaafu wa kiutendaji.

Unahitaji huduma nyingi? Wasiliana nasi.

Jinsi kampuni za huduma za afya zinavyotumia mfumo wetu

  • Usafirishaji wa mgonjwa na mlezi

    Tusaidie kupunguza miadi uliyokosa na uongeze idadi ya wagonjwa kwa kutumia teknolojia yetu ya usafiri bila malipo iliyotengenezwa kwa kuzingatia faragha ya huduma za afya.

  • Usafiri wa mhudumu wa afya

    Wasaidie wafanyakazi kufika kazini na kuwapa wagonjwa nafasi za maegesho kwa kutoa ruzuku kwa safari kwenda na kutoka ofisini.

  • Usafirishaji wa dawa na vifaa

    Tumia Uber Health kuletewa dawa na vifaa vya matibabu siku hiyo hiyo.

  • Kusafirisha chakula

    Saidia kushughulikia ukosefu wa usalama wa chakula kwa kutoa usafirishaji wa chakula, vocha za chakula au safari kwenye migahawa.

  • Upanuzi wa mtandao wa NEMT

    Panua mtandao wako wa usafirishaji wa matibabu usio wa dharura (NEMT) ukitumia Uber Health ili kurahisisha watoa huduma usafirishaji wa wagonjwa.

  • Majaribio ya kimatibabu

    Boresha uandikishaji na uhifadhi wa washiriki wa jaribio la kliniki kwa kutoa safari bila malipo kwenda na kutoka kwenye kliniki yako.

  • Kujitegemea kwa wazee

    Wape usafiri wateja ambao hawawezi kuendesha gari tena. Tunarahisisha mchakato wa kuomba usafiri kwa wale wasio na Smartphone.

1/7

Tunajivunia kusaidia kuendeleza huduma za afya

1/5

Ni bora zaidi kwa wagonjwa—na huduma za msingi

Inasimamiwa na HIPAA

Dashibodi ya Uber Health ilibuniwa kutumiwa na kampuni za huduma za afya kushughulikia data nyeti, kwa hivyo unaweza kulinda taarifa za wagonjwa wako kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Hauhitaji kuwa na Smartphone

Wagonjwa wasioweza kutumia Smartphone au App ya Uber watapokea arifa zenye maelezo ya safari kupitia SMS au kupigiwa simu. Teknolojia haipaswi kuleta changamoto kwenye huduma za afya.

Kuokoa gharama

Iwe ni kuhakikisha kuwa miadi zaidi inawekwa au kubadilisha huduma ghali za usafiri wa mabasi, Uber Health inaweza kukusaidia kupunguza gharama na kuboresha utendaji wako kuanzia siku ya kwanza.

Habari zetu

Uber Health inashirikiana na NimbleRx

Ushirikiano wa moja kwa moja wa Uber Health na mfumo wa Nimble unawapa wateja chaguo la ziada la kupokea dawa bila kuondoka nyumbani.

Uber Health inakupa mchango wa wa safari 25,000

Uber Health inajiunga na kampeni ya “The Fight Is in Us” ili kusaidia kuhamasisha maelfu ya watu nchini Marekani ambao wamepona kutokana na COVID-19, watoe mchango wa damu.

Wataalamu wetu wa huduma za afya wako tayari kukusaidia

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili