Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Endeleza biashara yako ya magari kwa kutumia Uber

Sekta ya magari hutegemea Uber for Business ili kuwasaidia wateja na washirika wao kufika wanakotaka kwenda.

Jinsi sekta ya magari hutumia mfumo wetu

1/5

Honda Auto Center of Bellevue iliokoa 47% kwa kuanza kutumia Uber badala ya mabasi ya kazini.

Tovuti iliyoundwa ili kukidhi mahitaji yako

Si lazima uwe na Smartphone au App

Unapoitishia wateja wako usafiri kupitia dashibodi yetu ya Central, watapata maelezo ya safari kwa njia ya SMS.

Kila safari inalindwa kwa bima

Uber hulipa bima ya magari ya biashara ikiwa na bima ya angalau dola milioni 1 nchini Marekani kwa niaba ya madereva na wasafirishaji.

Weka masharti unayotaka

Kupitia Vocha, unaweza kulipia sehemu au kiasi kamili cha safari ya mteja kwa urahisi.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili