Hakuna njia nzuri ya kuadhimisha muungano zaidi ya kusherekea kwa FREE Zanzibar Pizza!
Dar Es Salaam, kwa kusherekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar – tunawaletea on-demand ya Zanzibar Pizza bila malipo!
Kaa chonjo kwani Ijumaa hii 27 April kuanzia saa 7 mchana – 9 mchana, icon ya UberZENJIPIZZA itaonekana kwenye app yako ya uber. Bonyeza kitufe cha Zanzibar Pizza na pizza yako itakufikia baada ya muda mfupi.
Jinsi inavyofanya kazi:
- Fungua app yako ya Uber kuanzia saa 7 mchana – saa 9 mchana.
- Andika sehemu yoyote kwenye kibox cha “where to” na hakikisha umewasha location yako.
- Chagua UberZENJIPIZZA halafu agiza usafiri kama kawaida.
- Kama ombi lako limekubabliwa, gari lenye UberZENJIPIZZA litakufuata hapo ulipo likiwa na zanzibar pizza yako.
Ikumbukwe ya kwamba maombi yatakuwa ni mengi, kwahiyo endelea kuagiza mpaka pale utakapo fanikiwa.
VIANGALIZO
- Kila box lina zanzibar pizza moja.
- Hakikisha unatoka nje ukishafanikiwa kuagiza UberZENJIPIZZA yako – hii itasaidia wewe kuunganishwa na dereva kiurahisi zaidi.
- Maombi yatakuwa ni mengi, kama umekosa mara ya kwanza endelea kujaribu kuagiza Zanzibar pizza yako.
- Maombi yanaweza kufanyika kuanzaia saa 7 mchana – saa 9 mchana siku ya 27 Ijumaa tu.
- Utapata zanzibar pizza moja tu kwa kila ombi.