Anza kuagiza chakula kwenye Uber Eats

Agiza sasa
Ofa

Popote uendako,acha tukufikishe

Tarehe 15 Aprili, 2019 / Tanzania

Dar es Salaam ni sehemu ya burudani, na wengi wetu hupenda kutoka.Hivyo basi, tumeshirikiana na baadhi ya sehemu za kuburudika katika jiji lako ili tukufikishe uendako kwa utulivu.

Kaa tayari kufurahia punguzo la 40% kwenye safari 4 kwenda na kutoka katika baadhi ya sehemu zinazobamba hapa Dar! Ingiza kuponi ya promosheni DARNIGHTS19 kwenye sehemu ya ‘Malipo’ kwenye app ya Uber-ni rahisi tu. Promosheni itaanza tarehe 17 Aprili 2019- 5 Mei 2019, acha funguo nyumbani na safiri nasi!

Sehemu Shiriki:

  • Grand Restaurant
  • Maison
  • Rhapsody’s CBD and Masaki
  • Governors
  • Cape Town Fish Market
  • Truth
  • Tips Lounge
  • The Wingman Grill House and Cockpit Bar
  • Vigezo na Masharti