Ofa

Pata punguzo la Enjoy 40% kwenye safari zote za uberPOA!

Tarehe 21 Septemba, 2018 / Tanzania

Je, unataka kwenda kununua kitu chochote kwenye shopping mall? Au unawahi mkutano muhimu? Unaweza kufanya safari zako jijini Dar es Salaam ukitumia uberPOA – usafiri unaopendwa na watu wengi wanapokuwa wanafanya shughuli zao mbalimbali mjini, na bei yake ni nafuu sana!

Unaweza kutumia simu yako kupata usafiri unaotumiwa na watu wengi, saa 24 kwa siku wiki nzima. Isitoshe, inakupunguzia adha ya kumwelekeza dereva au kutembea hadi kituo fulani kutafuta usafiri Sasa tumepunguza nauli mara dufu, uberPOA ndio chaguo la wakaazi wa Dar es Salaam.

Ita uberPOA yako kwa kufuata hatua zifuatazo:

  1. Ingia katika app yako ya Uber
  2. Andika mahali unakoenda
  3. Telezesha uchague bajaji ya uberPOA iliyo chini ya app yakp
  4. Ita usafiri
  5. Furahia huduma ya uberPOA

Nauli mpya baada ya punguzo la 40% kwenye safari za uberPOA ni ngapi?

 

Nauli ya awali (TZS)

Nauli ya mpya (TZS)

Mlimani city hadi Mbezi beach

8,000

5,000

Tabata hadi Ubungo

10,000

6,000

Mwenge hadi Tegeta

12,000

7,000

*Nauli hii itategemea barabara iliyotumika.

Iwe ni kwa shughuli zako za kila siku au unafanya safari za wikendi – tumia uberPOA!