Habari

Nyerere day hii, tunakusherekea wewe!

Tarehe 15 Oktoba, 2018 / Tanzania

Siku hii, tunakumbuka maisha ya shujaa wetu mkubwa, Baba wa Taifa, J.K. Nyerere, na imani yake katika umoja, elimu, ukarimu, juhudi katika kazi na mambo mengi juu ya uhuru na maendeleo ya jamii kiujumla.

Nyerere ni shujaa kwa wengi katika nchi yetu. Katika kutambua hilo, tumetengeneza video kuwatambulisha Uber legends. Watu ambao wamesadia kuisogeza Tanzania, kuanzia pale tulipoanza kufanya kazi June 2016. Kuanzania kwa madereva washirika, ambao wametufikisha sehemu mbali mbali, mpaka kwa wasafiri ambao wamefanya safari hizo kuwezekana.

Tuangalie mashujaa wetu:

 

Asanteni sana!