Ofa

Jishindie VIP ticket ya UberBOAT party!

Tarehe 8 Agosti, 2018 / Tanzania

Ni muda wa kuandaa zile outfit zetu na dance moves tayari kwa kuparty ndani ya UberBOAT!

Tunakupa nafasi ya kuwa mmoja kati ya wale watu 20 watakao pata mualiko wa kuhudhuria kati ya party kali ndani ya Dar es Salaam, Jumamosi hii tarehe 11/08/2018.

Washindi watapata VIP experience na kupata nafasi ya kupiga story na brand ambassador wetu Idris Sultan pamoja na wengine wengi watakao kuwepo siku hiyo

Hii si ya kukosa! Kupata mualiko wako fuata hatua zifuatazo;

  • Fungua app yako ya Uber Alhamisi 9/08 kuanzia saa 6 mchana – saa 8 mchana
  • Bonyeza bango lililo andikwa UberBOAT kwa chini ya app yako.
  • Chagua UberBOAT halafu uta confirm.
  • Kama ombi lako litakubaliwa dereva mshirika atafika ulipo na kukupa kadi yako ya mualiko, ambayo unaweza kumualika na rafiki yako mmoja.

Ikumbukwe ya kwamba maombi yatakua mengi, kwa hiyo unaweza kurudia kuomba mpaka pale ombi lako litakapo fanikiwa.

Vigezo na Masharti:

  • Mualiko utawawezesha watu wawili tu kuja kwenye UberBOAT party itakayo fanyika 11/08/ 2018
  • UberBOAT ni bure kabisa kwa wale watakaopata mualiko