Ruka uende katika maudhui ya msingi

Rhode Island: Pata usafiri. Safiri. Gundua.

Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.

Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.

Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema mjini Rhode Island

Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya usafiri kwenye Uber mjini Rhode Island. Omba usafiri hadi siku 30 mapema, wakati wowote na siku yoyote mwakani.
Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Date format is MMM d. Press the down arrow or enter key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is Mar 28.

Calendar
Clock

Huenda huduma ya kuweka nafasi isipatikane katika eneo lako la kuchukuliwa

Rhode Island: chagua usafiri

  • Ada ya Kipaumbele cha UberX

    1-4

    Safari za bei nafuu, kila siku

  • UberX

    1-4

    Safari za bei nafuu, kila siku

  • Wait & Save

    1-4

    Pata usafiri wa bei nafuu kwa kusubiri kidogo

  • Raha

    1-4

    Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha

  • UberXL

    1-6

    Affordable rides for groups up to 6

  • Uber Green

    1-4

    Eco-Friendly

  • Uber Pet

    1-4

    Affordable rides for you and your pet

1/7

Kuchukuliwa kwenye T. F. Green Airport

Jua mahali ambapo utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.

App ile ile, popote uendapo

Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.

Tunavyoshirikiana na miji

Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.

Usalama barabarani

Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.

Kuboresha miji

Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.

Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.

Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.

After the driver has ended the trip, please report any feedback when rating your trip in the Uber app, emailing customercomplaints@uber.com, visiting help.uber.com, or calling 800-664-1378.

Rhode Island 7% sales tax will be added to all trips that both begin and end in the state. Trips from T.F. Green Airport are subject to a $3 surcharge.