New Jersey: Pata usafiri. Safiri. Gundua.
Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.
Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.
Kuchukuliwa kwenye Newark Liberty International Airport
Jua mahali utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.
App ile ile, popote uendapo
Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.
Vyakula vya mgahawani, vinavyosafirishwa kupitia Uber Eats mjini New Jersey
Gundua vyakula bora zaidi vya kusafirishwa mjini New Jersey, na uagize chakula mtandaoni kwa kugonga mara chache tu.
Tunavyoshirikiana na miji
Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.
Uber Movement
Tunatoa data isiyokutambulisha kwa wasanifu wa miji na viongozi wa eneo lako kuwasaidia katika uamuzi wao unaohusiana na kujenga miundombinu na usafiri wa umma.
Usalama barabarani
Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.
Kuboresha miji
Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.
Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.
Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.
Baada ya dereva kumaliza safari, tafadhali ripoti maoni yoyote wakati unakadiria safari yako katika programu ya Uber kwa kutuma barua pepe kwa customercomplaints@uber.com, kutembelea help.uber.com au kupiga simu 800-664-1378.
In accordance with New York State law, a tip may incur a 3% surcharge for the Black Car Fund. There is a $16 surcharge on all trips beginning in New Jersey that cross the Verrazzano-Narrows Bridge. For information on Uber’s Jersey Shore rates, please visit www.uber.com/cities/new-jersey_shore. For a list of WAV providers in New Jersey, please visit t.uber.com/njwav. There is a $1 surcharge on all trips beginning or ending at Newark Airport.
There is a $20 surcharge on all trips between New York City and New Jersey.