Madrid: Pata usafiri. Safiri. Gundua.
Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.
Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.
Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema mjini Madrid
Madrid: chagua usafiri
Kijani
1-4
100% electric rides at the same price as UberX
Uber Metropolitano
1-4
Fixed price for trips from and to the station
Uber Pet
1-3
Ride with your pet
UberX Saver
1-4
Chaguo jipya la safari lenye nauli za chini kwenye VTC na Taxi
UberX
1-4
Affordable rides with VTC and Taxi
Black
1-4
High end cars with top-rated drivers
Raha
1-4
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha
Gari aina ya Van
1-6
High end cars for 6 with top-rated drivers
Kuchukuliwa kwenye Adolfo Suárez Madrid-Barajas Airport
Jua mahali ambapo utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.
App ile ile, popote uendapo
Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.
Vyakula vya mgahawani, vinavyosafirishwa kupitia Uber Eats mjini Madrid
Gundua vyakula bora zaidi vya kusafirishwa mjini Madrid, na uagize chakula mtandaoni kwa kubonyeza mara chache tu.
Tunavyoshirikiana na miji
Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.
Usalama barabarani
Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.
Kuboresha miji
Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.
Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.
Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.
Kuhusu