Ruka uende katika maudhui ya msingi

Las Vegas: Pata usafiri. Safiri. Gundua.

Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.

Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.

Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema mjini Las Vegas

Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya usafiri kwenye Uber mjini Las Vegas. Omba usafiri hadi siku 30 mapema, wakati wowote na siku yoyote mwakani.
Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Date format is MMM d. Press the down arrow or enter key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is Mar 28.

Calendar
Clock

Huenda huduma ya kuweka nafasi isipatikane katika eneo lako la kuchukuliwa

Las Vegas: chagua usafiri

  • UberX

    1-4

    Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

  • Starehe Electric

    1-4

    Magari ya Premium yasiyo na uchafuzi

  • UberXL

    1-6

    Affordable rides for groups up to 6

  • Raha

    1-4

    Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha

  • Uber Pet

    1-4

    Affordable rides for you and your pet

  • Connect Express

    1-4

    Send packages to friends & family

1/6

Kuchukuliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harry Reid

Jua mahali ambapo utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.

App ile ile, popote uendapo

Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.

Tunavyoshirikiana na miji

Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.

Usalama barabarani

Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.

Kuboresha miji

Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.

Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.

Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.

After the driver has ended the trip, please report any feedback when rating your trip in the Uber app, emailing customercomplaints@uber.com, visiting help.uber.com, or calling 800-664-1378.

All trips in Nevada are subject to a 3% transportation excise tax. You can also file a complaint with the Nevada Transportation Authority here.

An airport surcharge of $2.45 is added to your fare if you’re being picked up or dropped off at LAS McCarran Airport.