Ruka uende katika maudhui ya msingi

Hamburg: Pata usafiri. Safiri. Gundua.

Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.

Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.

Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema mjini Hamburg

Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya usafiri kwenye Uber mjini Hamburg. Omba usafiri hadi siku 30 mapema, wakati wowote na siku yoyote mwakani.
Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Date format is MMM d. Press the down arrow or enter key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is Mar 28.

Calendar
Clock

Huenda huduma ya kuweka nafasi isipatikane katika eneo lako la kuchukuliwa

Hamburg: chagua usafiri

  • TaxiWheelchair Green

    1-4

    Usafari unaoweza kutumiwa na watu walio kwenye viti vya magurudumu

  • UberX

    1-4

    Safari za bei nafuu, kila siku

  • TAXI

    1-4

    Metered taxis at your doorstep

  • Kijani

    1-4

    Electric and hybrid vehicles

1/4

Kuchukuliwa kwenye Hamburg Airport

Jua mahali ambapo utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.

App ile ile, popote uendapo

Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.

Tunavyoshirikiana na miji

Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.

Usalama barabarani

Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.

Kuboresha miji

Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.

Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.

Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.

Uber hutuma ombi lako la usafiri kwa mhudumu aliyesajiliwa kutoa huduma ya kukodisha gari la binafsi. Magari yote yanayotumika yametimiza masharti ya PBefG na BOKraft. Madereva wote wana leseni ya kuendesha magari ya binafsi ya kukodisha. Kila safari inalindwa kwa bima iliyochukuliwa na mwenye gari.