Ruka uende katika maudhui ya msingi

Dusseldorf: Pata usafiri. Safiri. Gundua.

Utaratibu wa kutumia Uber kuratibu safari mjini Dusseldorf au Duisburg ni rahisi sana. Linganisha njia za usafiri zinazotumika na uone kile kinachoendelea karibu nawe.

Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.

Dusseldorf: chagua usafiri

 • UberX

  1-3

  Affordable everyday trips

 • Green

  1-3

  Emission-free, affordable, everyday rides

 • Taxi

  1-3

  Local taxi-cabs at the tap of a button

1/3

App ile ile, popote uendapo

Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.

Tunavyoshirikiana na miji

Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.

Uber Movement

Tunatoa data isiyokutambulisha kwa wasanifu wa miji na viongozi wa eneo lako kuwasaidia katika uamuzi wao unaohusiana na kujenga miundombinu na usafiri wa umma.

Usalama barabarani

Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.

Kuboresha miji

Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.

Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.

Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.

Uber hutuma ombi lako la usafiri kwa mhudumu aliyesajiliwa kutoa huduma ya kukodisha gari la binafsi. Magari yote yanayotumika yametimiza masharti ya PBefG na BOKraft. Madereva wote wana leseni ya kuendesha magari ya binafsi ya kukodisha. Kila safari inalindwa kwa bima iliyochukuliwa na mwenye gari.