Cincinnati: Pata usafiri. Safiri. Gundua.
Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.
Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.
Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema mjini Cincinnati
Cincinnati: chagua usafiri
UberX
1-4
Safari za bei nafuu, kila siku
Wait & Save
1-4
Pata usafiri wa bei nafuu kwa kusubiri kidogo
Ada ya Kipaumbele cha UberX
1-4
Safari za bei nafuu, kila siku
Raha
1-4
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha
UberXL
1-6
Affordable rides for groups up to 6
Uber Pet
1-4
Affordable rides for you and your pet
Connect Express
1-4
Send packages to friends & family
Black
1-4
Luxury rides with professional drivers
Kuchukuliwa kwenye Cincinnati/Northern Kentucky International Airport
Jua mahali ambapo utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.
App ile ile, popote uendapo
Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.
Vyakula vya mgahawani, vinavyosafirishwa kupitia Uber Eats mjini Cincinnati
Gundua vyakula bora zaidi vya kusafirishwa mjini Cincinnati, na uagize chakula mtandaoni kwa kubonyeza mara chache tu.
Tunavyoshirikiana na miji
Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.
Usalama barabarani
Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.
Kuboresha miji
Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.
Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia programu ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.
Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ada ya vibali.”
After the driver has ended the trip, please report any feedback when rating your trip in the Uber app, emailing customercomplaints@uber.com, visiting help.uber.com, or calling 800-664-1378.
There is a surcharge of $3 from Cincinnati/Northern Kentucky International Airport on UberX, UberXL, and Select.
Kampuni