Chicago: Pata usafiri. Safiri. Gundua.
Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.
Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.
Chicago: chagua usafiri
UberX
1-3
Affordable rides, all to yourself
Comfort
1-3
Newer cars with extra legroom
UberXL
1-5
Affordable rides for groups up to 5
Uber Green
1-3
Low-emission rides
Connect
1-4
Send packages to friends & family
Hourly
1-3
Request a ride by the hour to get around in a dedicated car
UberCab
1-4
Local taxi-cabs at the tap of a button
Pool - Unavailable
1-2
Temporarily unavailable
Mwongozo wa kuchukuliwa katika uwanja wa ndege
Jua mahali utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.
App ile ile, popote uendapo
Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.
Vyakula vya mgahawani, vinavyosafirishwa kupitia Uber Eats mjini Chicago
Gundua vyakula bora zaidi vya kusafirishwa mjini Chicago, na uagize chakula mtandaoni kwa kugonga mara chache tu.
Tunavyoshirikiana na miji
Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.
Uber Movement
Tunatoa data isiyokutambulisha kwa wasanifu wa miji na viongozi wa eneo lako kuwasaidia katika uamuzi wao unaohusiana na kujenga miundombinu na usafiri wa umma.
Usalama barabarani
Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.
Kuboresha miji
Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.
Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.
Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.
Baada ya dereva kumaliza safari, tafadhali ripoti maoni yoyote wakati unakadiria safari yako katika programu ya Uber kwa kutuma barua pepe kwa customercomplaints@uber.com, kutembelea help.uber.com au kupiga simu 800-664-1378.
Safari zote zina kikomo cha saa 3. Safari za UberX, Select, UberXL, Uber Español, Assist, WAV na Uber Pool zinazoanzia au kuishia Chicago zitatozwa ada ya ziada ya $0.50 ya Jiji la Chicago. Wakati safari hizi zinaanzia au kuishia katika uwanja wa ndege wa Chicago, McCormick Place, au Navy Pier, zitatozwa ada ya ziada ya $5 ya uwanja wa ndege wa Chicago, McCormick Place, Navy Pier. Kwa maelezo zaidi kuhusu safari za Uber Commute na madereva wa Uber Commute, tafadhali tembelea t.uber.com/commutefaq.
Raiser LLC ni kampuni ya mtandao wa usafirishaji na hushirikiana na madereva wanaotumia programu za usafiri. Raiser ni kampuni tanzu inayomilikiwa na Uber Technologies Inc.