Ruka uende katika maudhui ya msingi
Uber

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa San Francisco (SFO)

Pata gari la kukupeleka na kukusafirisha kutoka uwanja wa ndege wakati wowote, iwe unasafiri kutoka SFO hadi Napa au kutoka Silicon Valley hadi SFO.

San Francisco, CA 94128
+1 650-821-8211

Njia bora zaidi ya kusafiri

Itisha usafiri kote ulimwenguni

Bonyeza tu kitufe ili upate usafiri wa angani katika zaidi ya viwanja vikuu 500.

Safiri kama mwenyeji

Acha programu na dereva wako ashughulikie masuala ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika jiji ambapo wewe ni mgeni.

Safiri bila wasiwasi kwa kutumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwa ni pamoja na bei zinazooneshwa moja kwa moja na uwezo wa kulipa bila pesa taslimu, hata ukiwa ugenini.

Punguzo la hadi $15

Get $5 off each of your first three rides. Use promo code **NEWRIDER15**. Expires 30 days after the promo code is applied to your Uber account.
Jisajili ili usafiri

Punguzo la hadi $15

Get $5 off each of your first three rides. Use promo code **NEWRIDER15**. Expires 30 days after the promo code is applied to your Uber account.
Jisajili ili usafiri

Njia za kusafiri

 • UberX1-4

  Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

 • UberX garage pickup1-4

  Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

 • Pool1-2

  Usafiri wa pamoja, bei nafuu

Kupata gari kwenye Uwanja wa Ndege wa SFO

Itisha usafiri ukiwa tayari kuondoka

Chagua aina ya gari linalotosha idadi ya wasafiri na mizigo mliyo nayo.

Ukiitisha usafiri wa UberPool au Express Pool kutoka Vituo vya 1-3, utatembea kwenye ushoroba wa ghorofa inaounganisha kwenye Ghorofa ya 5 katika Maegesho ya Usafiri wa Nchini. Tafadhali itisha gari tu ukiwa kwenye maegesho.

Kutana na dereva wako katika sehemu ya kuchukuliwa iliyobainishwa

Kwa Vituo vya 1-3, wasafiri wa UberPool na Express Pool huchukuliwa kwenye Ghorofa ya 5 ya Maegesho ya Usafiri wa nchini, nao wasafiri wengine huchukuliwa kando ya barabara kwenye Ghorofa ya Wanaoondoka (ghorofa ya 2, usafiri wa nchini).

Wasafiri wengine walio kwenye kituo cha kimataifa, ikijumuisha UberPool na Express Pool, watachukuliwa sehemu ya 2 kando ya barabara kwenye Ghorofa ya Wanaoondoka (ghorofa ya 3, usafiri wa kimataifa).

Thibitisha mahali ulipo

Weka kituo chako na namba ya mlango ili dereva wako ajue mahali atakapokukuta.

Ikiwa unaitisha usafiri wa UberPool au Express Pool ukiwa Kituo cha 1 hadi 3, unaweza kuandika herufi ya sehemu husika (B, D au F) badala yake.

Ramani ya SFO

Vituo vya 1 hadi 3 ni vya wasafiri wa nchini, na Sehemu za A na G ni za Kimataifa. Maegesho matatu yanakuwezesha kufikia AirTrain na njia ya kutembea.

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unakoweza kuitisha usafiri wa Uber.

Nauli ya usafiri wa Uber kuenda (au kutoka) Uwanja wa Ndege wa SFO inategemea hali kama vile aina ya usafiri, kadirio ya umbali na muda wa safari, ada ya vibali barabarani na idadi ya maombi ya usafiri.

Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuitisha usafiri kwa kuweka eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda katika zana ya kukadiria nauli katika Uber hapo juu. Kisha, unapoitisha usafiri utaona nauli yako halisi kwenye programu kwa kutegemea hali za wakati huo.

Maeneo ya kuchukuliwa huenda yakategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye programu kuhusu eneo utakakomkuta dereva wako. Unaweza pia kuangalia mabango yanayoashiria maeneo ya usafiri wa pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Msimbo wa Uwanja wa Ndege SFO unasimamia “San Francisco,” na huenda “O” inasimamia herufi ya mwisho ya jina la mji.

Maelezo zaidi

Unatumia mfumo wa Uber kuendesha gari?

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kurahisisha huduma unayopokea katika viwanja vya ndege, zikiwemo sheria na kanuni za nchi husika.

Je, unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

Unaweza kupelekwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 500 vya ndege kote duniani.

Maelezo kwa wageni katika SFO

 • Southwest
 • Alaska

Facebook
Twitter