Ruka uende katika maudhui ya msingi
Uber

Uwanja wa Ndege wa LaGuardia (LGA)

Tumia Uber kwenda popote, iwe unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa LaGuardia kwenda Empire State Building au kutoka Central Park hadi LaGuardia.

Queens, NY 11371
+1 718-533-3400

Njia bora zaidi ya kusafiri

Itisha usafiri kote ulimwenguni

Bonyeza tu kitufe ili upate usafiri wa angani katika zaidi ya viwanja vikuu 500.

Safiri kama mwenyeji

Acha programu na dereva wako ashughulikie masuala ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika jiji ambapo wewe ni mgeni.

Safiri bila wasiwasi kwa kutumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwa ni pamoja na bei zinazooneshwa moja kwa moja na uwezo wa kulipa bila pesa taslimu, hata ukiwa ugenini.

Mfumo wa Uber wa kukadiria nauli

Sampuli za bei za msafiri ni makadirio tu na hazioneshi mabadiliko yanayotokana na mapunguzo, kucheleweshwa kwenye foleni na mambo mengine. Tunaweza kutumia nauli isiyobadilika na bei za chini zaidi. Bei halisi zinaweza kubadilika.

Jipatie kuponi ya ofa kutoka Uber

Punguzo la hadi $15

Get $5 off each of your first three rides. Use promo code **NEWRIDER15**. Expires 30 days after the promo code is applied to your Uber account.
Jisajili ili usafiri

Punguzo la hadi $15

Get $5 off each of your first three rides. Use promo code **NEWRIDER15**. Expires 30 days after the promo code is applied to your Uber account.
Jisajili ili usafiri

Njia za kusafiri

  • Pool1-2

    Safari za pamoja

  • UberX1-4

    Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku

Kupata usafiri kutoka LaGuardia

Ita gari ukiwa tayari kutoka nje

Chagua aina ya gari linalotosha idadi ya wasafiri na mizigo mliyo nayo.

Ondoka kwenye kituo

Kwa Kituo cha A, nenda nje ukipitia eneo la wanaowasili au la kuchukua mizigo. Hapa ndipo madereva wote wa Uber katika uwanja wa ndege wa LGA huwakuta na kuwachukua wasafiri.

Ukiwa kwenye kituo cha B, ondoka ukipitia ghorofa ya juu. Fuata mabango ya kijani kibichi ya “Huduma za Magari” hadi kwenye njia ya samawati ya wanaotembea. Ukiwa kwenye Ghorofa ya 2, tafadhali msubiri dereva wako katika leni iliyobainishwa.

Kwa Vituo vya C na D, nenda nje ukipitia ghorofa ya wanaoondoka. Hapa ndipo madereva wote wa Uber katika uwanja wa ndege wa LGA huwakuta na kuwachukua wasafiri.

Thibitisha mahali ulipo

Chagua kituo na namba ya mlango ili dereva wako ajue mahali atakapokukuta.

Ada za maegesho katika LGA

Ikiwa unapanga safari ya kwenda LGA na unatarajia kuendesha gari, unaweza kupata ada za maegesho hapa.

Aina ya maegesho

Vituo vya A,B,C na D

Ada

$39 kila siku
Huenda ada za maegesho zikawa zimebadilika; taarifa hii iliwekwa Tarehe 20 Novemba, 2018.

Ramani ya LGA

Uwanja wa Ndege wa LGA ni mojawapo wa viwanja vya ndege 3 vinavyohudumia Mji wa New York. Una vituo 4 (A,B,C na D)
Ramani ya Uwanja wa Ndege wa LaGuardia

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unakoweza kuitisha usafiri wa Uber.

Nauli ya usafiri wa Uber kuenda (au kutoka) Uwanja wa Ndege wa LGA inategemea hali kama vile aina ya usafiri, kadirio ya umbali na muda wa safari, ada ya vibali barabarani na idadi ya maombi ya usafiri.

Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuitisha usafiri kwa kuweka eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda katika zana ya kukadiria nauli katika Uber hapo juu. Kisha, unapoitisha usafiri utaona nauli yako halisi kwenye programu kwa kutegemea hali za wakati huo.

Maeneo ya kuchukuliwa huenda yakategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye programu kuhusu eneo utakakomkuta dereva wako. Unaweza pia kuangalia mabango yanayoashiria maeneo ya usafiri wa pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Maelezo zaidi

Ukurasa wa kualamisha kwa ajili ya madereva

Unatumia mfumo wa Uber kuendesha gari?

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kurahisisha huduma unayopokea katika viwanja vya ndege, zikiwemo sheria na kanuni za nchi husika.
Uber inaweza kukupeleka na kukuchukua kutoka kwenye zaidi ya viwanja 500 vya ndege.

Je, unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

Unaweza kupelekwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 500 vya ndege kote duniani.

Maelezo kwa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa LaGuardia

LGA Terminal A

  • JetBlue

LGA Terminal C

  • WestJet
.

  • Central Park

Facebook