Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cape Town (CPT)

Je, unatafuta mbinu mbadala ya usafiri ambayo si basi la kawaida la Uwanja wa Ndege wa Cape Town au teksi? Iwe unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Cape Town hadi katikati ya jiji au kutoka katikati ya jiji hadi Uwanja wa Ndege wa Cape Town, fika unakoenda ukitumia programu ya Uber unayoijua tayari. Omba gari la kukupeleka na kukurudisha kutoka CPT kwa kubofya kitufe.

Cape Town, 7490
+27 21-937-1200

search
Where from?
Navigate right up
search
Where to?

Request a ride around the world

Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 700.

Safiri kama mkazi

Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.

Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.

Ways to ride in the area

Pickup at Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cape Town (CPT)

Fungua programu yako ili uombe safari

Ukiwa tayari, fungua programu ya Uber ili uombe safari ya kuelekea mahali unakoenda. Chagua chaguo la usafiri wa uwanja wa ndege wa CPT linalokidhi mahitaji ya idadi ya wasafiri na mizigo yenu.

Fuata maelekezo kwenye programu

Utapata maelekezo kuhusu maeneo ya kuchukua wasafiri ya Uwanja wa Ndege wa Cape Town moja kwa moja kwenye programu. Maeneo ya kuchukua wasafiri yanaweza kutofautiana kulingana na kituo. Ishara za maeneo ya kuchukua wasafiri wanaosafiri pamoja zinaweza pia kupatikana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cape Town.

Kutana na dereva wako

Nenda kwenye eneo lako la kuchukuliwa la CPT kama ilivyobainishwa kwenye programu. Tafadhali kumbuka: eneo hili huenda lisiwe kwenye lango la kutoka lililo karibu zaidi nawe. Jina la dereva wako, nambari ya leseni na rangi ya gari itaonyeshwa kwenye programu. Thibitisha gari lako kabla ya kuingia. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Top questions from riders

  • Uber inapatikana katika Uwanja wa Ndege wa Cape Town, kwa hivyo unaweza kufurahia usafiri wa starehe na uhakika popote unapotaka kwenda.

  • Ili kupata eneo la kuchukuliwa, angalia programu ya Uber baada ya kuitisha usafiri.

  • Hata kama safari si ndefu sana, ada za Uber ukitoka na kuenda kwenye Uwanja wa Ndege wa Cape Town zinaweza kuathiriwa na muda, foleni na masuala mengine. Angalia mfumo wa kukadiria nauli wa Uber ili ufahamu makadirio ya nauli ya safari.

  • Muda wa kuchukuliwa unaweza kutofautiana kulingana na wakati, idadi ya madereva wanaopatikana na masuala mengine.

More information

  • Unaendesha gari ukitumia Uber?

    Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.

  • Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

    Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 700 vya ndege kote ulimwenguni.

1/2

Vituo katika Uwanja wa Ndege wa Cape Town

Uber ni chaguo bora kwa wasafiri wanaowasili au kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa CPT. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cape Town ndio wa 3 kwa ukubwa barani Afrika. Unawahudumia takribani wasafiri milioni 10 kila mwaka. Uwanja wa Ndege wa CPT unapatikana umbali wa kilomita 20 (maili 12) kutoka katikati mwa Mji wa Cape Town, jambo linaloufanya kuwa chaguo bora kwa watu wanaowasili na kuondoka Cape Town. Uwanja wa ndege wa CPT ni chaguo bora kwa yeyote anayetembelea Cape Town kwa sababu ndio uwanja wa kipekee unaotoa huduma kwa wasafiri katika eneo hili. Isitoshe, kuna mabasi, magari, teksi na Uber zinazopatikana wakati wowote kusafirisha wasafiri wanaowasili na kuondoka kwenye uwanja wa ndege.

Vituo katika Uwanja wa Ndege wa Cape Town

Uwanja wa Ndege wa Cape Town una kituo kimoja kikuu kilichogawanywa kati ya usafiri wa nchini na wa kimataifa na vina sehemu moja ya kukagua usalama. Kituo cha kimataifa kinapatikana kaskazini mwa jengo na kile cha wasafiri wa nchini kinapatikana kusini. Kituo cha Uwanja wa Kimataifa wa Cape Town kina ghorofa 3: ghorofa ya chini (wanaowasili), ghorofa ya 2 (wanaoondoka) na ghorofa ya 3 ina sehemu ya kuuza vyakula. Mashirika mbalimbali yanahudumu kwenye CPT, yakiwemo:

  • Airlink
  • Austrian
  • CemAir
  • Emirates
  • Ethiopian
  • FlySafair
  • Joon
  • kulula.com
  • Lufthansa
  • Qatar
  • Thomas Cook

Migahawa kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Cape Town

Kuna aina mbalimbali ya migahawa ya kugundua kwenye Uwanja wa Ndege wa Cape Town. Kuanzia baa na vibanda vya vyakula tayari hadi migahawa na maduka ya vinywaji. Bidhaa kwenye migahawa ya Cape Town zinatosheleza mahitaji yako.

Kusafiri kwenye Uwanja wa Ndege wa CPT

Kwa sababu Uwanja wa Ndege wa Cape Town una jengo moja la kituo kikuu, ni rahisi kutembea mwenyewe.

Mambo ya kufanya kwenye Uwanja wa Ndege wa Cape Town

Iwe unatafuta bidhaa bora za kimataifa au za nchini, unaweza kuzinunua katika maduka kwenye Uwanja wa Ndege wa Cape Town. Uwanja wa Ndege wa CPT, unakupa chaguo za kukufaa, kuanzia vitabu na mizigo hadi mivinyo maarufu ya Afrika Kusini. Isitoshe, maduka ya bidhaa zisizotozwa kodi kwenye Uwanja wa Ndege wa Cape Town yanawafaa watu wanaotaka kuwazawadi wapendwa hedaya za ukumbusho.

Sebule kwenye Uwanja wa Ndege wa Cape Town

Kuna sebule nyingi za kuchagua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cape Town. Hii inakuwezesha kufanya kazi au kupumzika kabla ya safari. Bidvest Premier Lounges, zinapatikana kwenye vituo vya wasafiri wa nchini na wa kimataifa, zina sehemu nzuri za kukalia, WiFi na vyakula bora. SAA Voyager Platinum Lounge, Baobab Premium Class Lounge, na SLOW Lounge zina maeneo mazuri ya kutulia baada ya shughuli kwenye uwanja wa ndege.

Hoteli karibu na Uwanja wa Ndege wa Cape Town

Kuna hoteli 2 kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cape Town. Zinawafaa zaidi wasafiri wa alfajiri. Mbali na uwanja huu, kuna hoteli nyingi tofauti katika eneo pana la Cape Town. Utapata vyumba vya bei nafuu, vyumba vya kukodisha au hoteli za kifahari.

Maeneo ya kuzuru karibu na Uwanja wa Ndege wa CPT

Ikiwa unasubiri ndege nyingine katika Uwanja wa Ndege wa Cape Town, unaweza kuzuru maeneo mbalimbali. Kusafiri kuona baadhi ya maeneo asili ya kuvutia, yakiwemo:

  • Boulders Penguin Colony
  • Kisiwa cha Robben
  • Table Mountain
  • Cape of Good Hope

Pata maelezo zaidi kuhusu Uwanja wa Ndege wa Cape Town hapa.

Facebook
Twitter

This page contains information from third-party websites that are not under the control of Uber and that may be periodically changed or updated. Any information included on this page that is not directly related to Uber or its operations is for informational purposes only and in no way shall be relied upon, or interpreted or construed to create any warranties of any kind, either express or implied, regarding the information contained herein. Certain requirements and features vary by country, region, and city.