Safiri za uwanja wa ndege ni bora ukitumia Uber
Omba usafiri wa kuenda na kutoka kwenye viwanja zaidi ya 700 kote duniani. Katika maeneo mengi, utakuwa pia na chaguo la kupanga kuchukuliwa na kushukishwa kwenye uwanja wa ndege mapema.
Weka nafasi ya safari yako ya uwanja wa ndege mapema
Fika au toka kwenye uwanja wa ndege kwa urahisi kwa kuratibu safari hadi siku 90 kabla ya wakati.
Panga safari yako kwenda uwanja wa ndege
Kipengele cha kipaumbele kupitia Uber Reserve hukusaidia kupata safiri unaohitaji unapoihitaji.*
Pata usafiri wako unapotua**
Teknolojia yetu ya kufuatilia safari ya ndege itamfahamisha dereva wako ikiwa safari yako ya ndege imechelewa (au ndege imefika mapema) ili aweze kurekebisha muda wake wa kukuchukua ipasavyo.
Weka nafasi mapema pamoja na uweze kughairi wakati wowote
Funga bei unapoweka nafasi ya safari yako. Mipango yako ikibadilika, ghairi bila malipo hadi saa moja kabla ya muda ulioratibiwa wa kuchukuliwa.
Maswali yanayoulizwa sana kuhusu safari za uwanja wa ndege
- Safari yangu ya uwanja wa ndege itagharimu pesa ngapi?
Gharama ya safari yako inategemea mambo kadhaa, ikiwemo aina ya usafiri unaoomba, ada za barabarani, urefu au muda wa safari na mahitaji ya sasa.
Ili kupata makadirio ya bei kabla ya kutuma ombi, unaweza kwenda hapa na ujaze maelezo yako ya eneo la kuchukuliwa na kushukishwa. Ukiomba usafiri utaona bei halisi kwenye programu kulingana na wakati halisi.
- Ni magari yepi yanapatikana kwa safari za uwanja wa ndege?
Down Small Chaguo zinazopatikana za usafiri zinategemea eneo uliko na kanuni za uwanja wa ndege husika. Taarifa sahihi zinaweza patikana kwa kwenda kwenye uber.com/go na uweke sehemu ya kuchukuliwa na kushukishwa.
- Je, mizigo yangu yote itatoshea kwenye gari?
Down Small Ukubwa wa eneo la kubeba mizingo unategemea muundo wa gari, idadi ya abiria na chaguo la usafiri unaomba. Kwa mfano, UberX inaweza kubeba masanduku 2 ilihali UberXL inaweza kubeba masanduku 3. Unapounganishwa na dereva, unaweza kuwasiliana naye kupitia programu ili kuthibitisha.
- Je, ninaweza kuweka nafasi ya safari kwenye Uber ya kwenda na kurudi kwenye uwanja wa ndege?
Down Small Mahali pa kushukishwa pameratibiwa katika viwanja vingi vya ndege. Hata hivyo, nafasi ya usafiri wa kuchukuliwa kutoka kwenye uwanja wa ndege hudhibitiwa na sheria na masharti ya uwanja huo wa ndege. Unaweza kupata maelezo zaidi kwa kuchagua uwanja wako wa ndege katika orodha iliyo hapa chini.
- Napaswa niombe safari wakati gani ninapotua?
Down Small Kwa kutuma ombi unapohitaji, tunapendekeza uombe usafiri baada tu ya kushuka kwenye ndege, kupita eneo la forodha (ikihitajika) na kuchukuwa mizigo yako (ikiwa ipo). Epuka ada za muda wa kusubiri kwa kuchagua lango sahihi la kuwasili na kufuata maagizo katika programu ili kukutana na dereva wako.
- Je, dereva atanisubiri kwa muda gani kwenye uwanja wa ndege?
Down Small Chaguo tofauti za usafiri zina vipindi tofauti vya muda wa kusubiri. Kwa safari unazoomba unapohitaji ukitumia UberX, Uber Comfort na UberXL, hakikisha unakutana na dereva wako ndani ya dakika 2 baada yake kuwasili ili uepuka ada za muda wa kusubiri. Utakuwa na dakika 5 za kusubiri kwenye Uber Black, Uber Black SUV, Uber Premier na Uber Premier SUV. Wasafiri walio na ulemavu wanaweza kuomba kuondolewa ada ya muda wa kusubiri.
Unapotuma ombi ukitumia Uber Reserve, dereva wako atajulishwa kuhusu mabadiliko yoyote ya ratiba kwenye safari yako ya ndege. Kwa safari za UberX, Uber Comfort na UberXL, kutana na dereva wako hadi dakika 45 baada ya ndege yako kuwasili kabla ada za kuchelewa zitumike. Kwa safiri za Uber Black, Uber Black SUV, Uber Premier na Uber Premier SUV, kutana na dereva wako ndani ya dakika 60. Pata maelezo zaidi kuhusu Uber Reserve.
Tafuta uwanja wa ndege
Afrika
Misri
Kenya
Nigeria
Afrika Kusini
Asia
Bangladesh
India
Indonesia***
Japani
Malaysia***
Myanmar***
Ufilipino***
Korea Kusini
Taiwan
Thailand***
Australia na New Zealand
Australia
New Zealand
Ulaya
Kroatia
Ufaransa
Ujerumani
Ugiriki
Ayalandi
Italia
Uholanzi
Poland
Ureno
Romania
Uhispania
Uswidi
Ukraine
Uingereza
Mashariki ya Kati
Pakistani
Saudia
Amerika ya Kaskazini
Kanada
Puerto Rico
Marekani
Amerika Kusini na ya Kati
Argentina
Bolivia
Brazil
Chile
Kolombia
Costa Rica
Jamhuri ya Dominika
Ecuador
Meksiko
Panama
Peru
*Muda wa kuwasili ni makadirio tu; muda halisi wa kuwasili unategemea mambo ya nje ya udhibiti wa Uber, kama vile msongamano wa magari.
**Uber haikuhakikishii kwamba dereva atakubali ombi lako la usafiri. Safari yako huthibitishwa unapopokea maelezo kumhusu dereva wako. Dereva anapokubali ombi lako la usafiri, Uber haikuhakikishii kuwa dereva atakuwa amewasili ndege ipotua.
***Safari katika viwanja hivi vya ndege zinapatikana kupitia programu ya Grab, ambayo haimilikiwi na Uber. Uber haiwajibikii bidhaa na huduma za wahusika wengine.
Kuhusu