Promotions

Timu Yako Ikishinda Unashinda Pia!

June 14, 2018 / Tanzania

Jiunge na marafiki zako tayari kushabikia timu unayoipenda!

Dunia yote imeingia kwenye hekaheka za soka na tutajiunga na wewe kufuatilia baadhi ya mechi pamoja sambamba na kukupa nafasi ya kubashiri matokeo ya baadhi ya mechii.

Ninawezaje kushiriki?

  1. Chagua timu itakayoshinda na kuponi yake.
  2. Tuma beti yako kwa kuweka kuponi hiyo kwenye akaunti yako ya Uber. Unaweza kuchagua timu moja tu kwenye mechi.
  3. Kila kitu tayari sasa kaa na ufurahie ngoma ikipigwa

Ukibashiri vizuri, utaingia kwenye droo ya kushinda zawadi kubwa.

Tumia Uber kubashiri na unaweza kushinda zawadi kubwa!

Vigezo na Masharti:

  • Hauhitaji kulipa ili kushiriki – Kushiriki ni bure kabisa
  • Uber itachagua washindi kwa bahati nasibu
  • Uber ina haki ya kubadilisha sheria za promotion hii wakati wowote