Products

Marekebisho kwa ajili ya kuboresha usalama wako.

September 18, 2018 / Tanzania

Starehe, umeunganishwa, una usukani

Furahia kila safari ya Uber bila wasiwasi wowote Zana mpya ya usalama kwenye programu ya Uber huhakikisha kwamba umeunganinshwa na uko salama kila unapoenda.

 

Onesha maelezo ya safari kwa urahisi

Wajulishe uwapendao mahali ulipo, ili uendelee na safari bila usumbufu. Unaweza kuweka hadi ndugu watano kuwa Watu Unaowaamini na uweke vikumbusho ili uwaoneshe maelezo ya safari kila unaposafiri. Wataweza kukuona kwenye ramani na kujua unapowasili.

Mahali unapoweza kupata majibu

Tembelea Kituo cha Usalama kwenye programu ili upate usaidizi wakati wa safari yako. Bonyeza aikoni ya ngao ili ufikie zana muhimu mahali moja. Pia unaweza kupata maelezo kuhusu mambo tunayofanya ili kuhakikisha uko salama unaposafiri ukitumia mfumo wa Uber.