Destinations

Kukaribisha mwaka wa 2018

December 19, 2017 / Tanzania

Fuata vidokezo hivi ili ufurahie Mkesha wa Mwaka Mpya. Tutakuwa nawe katika kila hatua.

Jitayarishe kwa mwaka mpya

Jiandae kwa kila jambo kuukaribisha mwaka mpya.

Jua gharama za safari kabla ya kuanza safari. Utaona gharama za safari kabla ya kuanza safari yako.

Shiriki hali ya safari. Unaweza kuwajulisha marafiki zako utafika saa ngapi kwa.

Tuoneshe juwezo wako

Mwaka unakaribia kuisha! ni wakati wa kutoka.

Unatafuta usafiri? Wasiliana na dereva wako kwa kutuma ujumbe ndani ya app ama kumpigia simu.

Safiri na wengine, changia nauli. Utafurahia zaidi ukisafiri pamoja na marafiki. Punguza gharama ya safari kwa kutumia huduma ya Changia Nauli.

Pata muda wa kupumzika

Fika nyumbani kabla ya mapambazuko ya 2018.

Panga wakati bora zaidi wa kusafiri. Nauli na muda wa kusubiri usafiri unatarajiwa kuongezeka kuanzia saa 9 usiku.

Mfikishe kila mtu nyumbani salama. Washushe marafiki zako kwao unapoelekea nyumbani (na upunguze gharama kwa Kuchangia Nauli). Unaweza kuita usafiri na kuweka vituo kadhaa vya kusimama kwa kutumia app.

Tathmini safari yako. Mkesha wa Mwaka Mpya ni mojawapo ya usiku wenye wasafiri wengi katika mwaka! Mfahamishe dereva wako kwamba umefurahia kufika nyumbani salama.

Tunakutakia kheri ya mwaka mpya, na tunategemea kuwa nawe tena mwakani.