Promotions

Dar es salaam, your FREE UberIcecream is arriving now!

October 11, 2017 / Tanzania

UberIceCream is here!

Alhamisi hii tarehe 12th October Uber ikishirikiana na Gelato Dreams kugawa Ice cream za BURE kwa watumiaji wa Uber maeneo ya Dar Es Salaam!

Unataka kujua ni jinsi gani unaweza kupata UberIcecream ysko! Ni rahisi sana;

  • Fungua app yako alhamisi hii, tarehe 12th October kuanzia saa 5 asubuhi – saa 7 mchana ndani ya maeneo ya Dar Es Salaam
  • Bonyeza tangazo la Ice cream kwenye application yako
  • Agiza UberIcecream
  • Kama ombi lako litafanikiwa, dereva atafika mahali ulipo akiwa na Icream ya BURE kabisa kutoka Gelato dreams

Usisahau kushare #UberIcecream selfies zako, tungependa kuona furaha yako.
Tungependa kupata maoni yenu kuhusu UberIcecream kupitia Twitter,Facebook,instagram au help.uber.com